Sunday, August 7, 2011

NANI YUPO JUU SANA AIPA USHINDI MANCHESTER UNITED

Mchezaji wa man utd Nani akishangilia kwa hisia kubwa baada ya kuipatia timu yake goli la ushindi katika dakika za lala salama zidi ya Man city katika kugombea ngao ya hisani.