Sunday, August 7, 2011

MUALIKO WA FUTARI KWA KAKA NAAMAN

 Kaka Naaman akitabasabu  wakati wa kuwakaribisha wageni wake kujumuika katika ftari
 Wageni wakipata ftafi
 Napenda sana kukaa na huyu mtu popote kwenye mkusanyiko siku yangu huwa safi sana nikiwa nataniana nae mjomba Jamil
 Kaka Abraham na Juma Magambo waliitikia mualiko huo safi sana.

 Balozi wa Tanzania nchini Sweden akiwa sambamba na kaka Naaman katika ftari
 Shekh Yunus
 Shekh Rashid

 Nikiwa na kaka Said


 Akina mama nao walikuwepo



Inapendeza sana kipindi kama hiki cha mwezi mtukufu kukutana na kupata ftari kwa pamoja,kwa upande mwingine tulijaaliwa kumuombea dua baba wa Omar,Seif na Dj Richie aliofaliki nyumbani Tanga.Mungu atukubalie dua zetu na zimfikie marehem kwa baraka za Ramadhani amen.

Bwana Naaman yeye anawashukuru wote waliofika na hata wale wasiofika ambao majukumu yaliwabana kwani nia yao ilikua kufika.