Wednesday, August 31, 2011

EID MUBARAK NDANI YA UWANJA WA NYUMBANI AL-QADIRIYAH

 Musjid al-qadiriyah leo asubuh wakati wa swala ya eid hapa ndio hua naswali ninapokua nyumbani tanzania.
 Damu zangu hizi Abdul bingwa,Abdul,Muddy,Kogwa na big jah(jabir)nimekosekana mimi tu hasubuh ya leo.Na nyuma ya hawa ndugu zangu kule ukutani ndio kikao changu baada ya sala na damu zangu zote tunasikiliza mawaidha nimemiss sana.
 Dereva wa mambo yangu ya tz ndio huyu Said Ally nae alikuwepo katika ibada ya eid msikiti wa changani.

                                    Rama Rado asiye na kofia nae alikuwepo.
                                  Baada ya sala watu waliingia majumbani kupata chai ya eid
                                       Kaka Lee Mnyusi

Shukrani kwa Rama Rado wa temekepamoja kwa kunisukumia matukio haya angalau nami katika nafsi nimejihisi eid nimesalia katika msikiti ambao ndio mazalio yangu.Inshallah ijayo tutakua pamoja amen.