Thursday, August 16, 2012

HISANI MUYA A.K.A TINO HAJA NA HII YA ACTION GOMBOA UFAIDIHii filamu sio yakuadisiwa mdau fanya upate kopi yako halali yenye nembo ya steps,Kwa upande wangu kiukweli sipendani filamu za action za kibongo but hii mshkaji alivyonichungulisha kidogo kwenye simu yake ya mkononi nikampa salute imesimama fanya uipate.