Wednesday, August 1, 2012

MCHEZAJI ANAPOOMBA SIGN KWA MCHEZAJI MWENZIE

Hii ilikua siku ya jana pale yanapofanyika olympic 2012 london,nilishuhudia mchezaji wa tunisia ambae ni Mohamed Hdidane akiomba sign kutoka kwa Kobe Bryant iwekwe kwenye kiatu chake alichochezea  mechi na dream team ya usa.