Tuesday, August 28, 2012

SHEKH ABOUD ROGO MOHAMMED APIGWA RISASI NA KUFA PAPO HAPO

 Aboud Mohammed Rogo aliyekuwa juu ya Marekani na Umoja wa Mataifa kuidhinisha orodha kwa madai ya kusaidia Somalia Al-Qaeda-zilizounganishwa wanamgambo Shebab alipigwa risasi kwenye mji wa mombasa nchini Kenya.
 Muda mfupi baada ya kifo Rogo waumini wenye hasira walianzisha maandamano kutokana na kifo cha bwana Rogo. Magari zilichomwa moto na makanisa kadhaa yalivunjwa kutokana na vulugu za waislam . Maandamano yaliendelea kwa siku ya mbili kwa waandamanaji kulaani mauaji ya kikatili ya bwana Rogo Mohammed.
Baadhi ya magari yaliochomwa moto na waandamanaji wa kiislam kwa kulaani kifo cha muislam mwenzao bwana Rogo.Chanzo cha habari kinasema Rogo Mohommed inawezekana ameuawa na polisi wa serikali ya kenya lakini hakuna uhakika wa habari hyo mpaka sasa.Rogo alipigwa risasi maeneo ya malindi mombasa akiwa na mkewe ,mwanamke mmoja,mtotona baba yake.Mke wa Rogo alipatwa na jeraha mguuni kwa kupigwa na risasi