Friday, August 3, 2012

MRISHO NGASSA ATUA MSIMBAZI RASMI TAYARI KUIUA JANGWANI

 Mrisho Ngassa akiingia katika ufukwe wa coco beach na gari yake mpya aliopewa na simba sports club tayari kwa kujumuika na wenzie kuanza mazoezi simaba oyeeeeeeee.
 Ngassa akishuka katika gari yake aina ya verrosa wadau hii gari mpaka unaipata bongo ni pesa za madafu zisizopungua milioni 18 amepewa tu zawadi kwa kujiunga na msimbazi sasa vipi uamisho wake?
 Mashabiki wa Simba wakimsubiri kwa hamu kubwa mchezaji wao mpya ashuke katika gari
 Mrisho Ngassa kwa pooooozi kwenye gari yake mpya na timu yake mpya ya wekundu wa msimbazi
     Uhuru Selemani akimuongoza Ngassa kwenda kwenye mazoezi
      Mrisho Ngassa kazini ndani ya uzi wa msimbazi
                                Mrisho Ngassa a.k.a kichomi full kuwachoma jangwani

      Mashabiki wakusaza kumshuhudia Ngassa
     Hapa Mrisho Ngassa akiondoka katika club ya msimbazi baada ya kutambulishwa ilikua tabu mshkaji kuondoka msjali mtamuona uwanjani tena akiwaua Yanga.Picha kwa hisani a Abuu Msumi