Monday, August 13, 2012

TAARIFA YA MSIBA

NDUGU WILLIAM  JOHN WA VÄLLINGBY ANAWATANGAZIA TAARI YA MSIBA  KWA KUFIWA NA BABA YAKE MZAZI HUKO NYUMBANI TANZANIA.MIPANGO YA MAZISHI INAFANYWA HUKO NYUMBANI KWA MAREHEM TANZANIA.

KAMA ILIVYOKAWAIDA YETU WADAU NA MARAFIKI WOTE WANAOGUSWA NA MWENZETU KUFIKWA KUPATWA NA MTIHANI KAMA HUU NI WAJIBU WETU KUMKIMBILIA NA KUMPA POLE KWA KUMFARIJI.HUU NI MTIHANI WA KILA MTU NDUGU ZANGU SIKU UTAKUA KWANGU AMA KWAKO.

KWA WALE AMBAO WANAWEZA KUFIKA NYUMBANI KWA WILLIAM JOHN KUMPA POLE UNAWEZA KWENDA VÄLLINGBY ADRESS NI GRIMSTAGATAN 111 VÄLLINGBY.AU PIA UNAWEZA KUMPA POLE KWA KUTUMIA SIMU YAKE YA MKONONI AMBAYO NI   0704366428.

MIMI NA WADAU WOTE WA DARSTOCKHOLM TUNAUNGANA NA WILLIAM JOHN KATIKA MAOMBOLEZO YA MSIBA WA BABA YETU MPENDWA,SISI TULIMPENDA ILA MUNGU AMEMPENDA ZAIDI.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEM BABA YETU MAHALI PEMA PEPONI AMEN.