Friday, August 3, 2012

MAGAZETI YA UDAKU NAWAKUBALI KWA KUTENGENEZA HABARI

Hawa watu wa magazeti ya udaku sijui hata huwazaga nini maana siku zote kichwa cha habari ni tofauti na habari iliopo ndani sasa ukitaka kuamini poteza pesa yako nunua usome utajuta.Mimi habari hii ya Diamond niliitundika na niliitoa katika web yake Diamond alieleza vizuri tu kwamba ilimpata homa sasa udaku ukadaka na kuedit kisha kupaste dah noma nayaogopa haya magazeti