Friday, August 17, 2012

NIMEKUBALI KUITUMIKIA MAN UTD KWA MIAKA MINNE BILA KULAZIMISHWA NA MTU-VAN PERSIE                       Dah jamaa jezi imempendeza sana na hapa kaishika tu sijui vipi akivaa.
        Nani akimkaribisha Van Persie mazoezini tayari kuchukua majukumu ya man utd
                                   Hapa Van pale Rooney mimi mgeni
     Usjali kijana hapa utapata mshahara mara mbili ya kule ulipotoka.