Monday, August 13, 2012

MARTIN KADINDA ANAWALETEA KIBUNDUKI SHORT KAZI KWENU WAJANJA WA MJINI

Hapa msanii wa muziki wa dance Tanzania Charles Baba a.k.a Chalz baba akiwa ametokelezea na kibunduki short juu kaweka single button blazer safiiiiiiiiiiii ww unasubiri nini mimi nimeshaagiza yangu.