Sunday, August 5, 2012

USAIN BOLT ATETEA UBINGWA WAKE WA OLYMPIC HUKU AKIMWACHA TYSON GAY AKIWA WANNE NA KUANGUA KILIO

     Usain Bolt akimaliza mbio za mita 100 za olympic london 2012 kwa ushindi wa 9:63 sekunde huku akimwacha Tyson Gay akilia kwa kushika nafasi ya nne.

     Nafasi ya pili ilishikwa na Blake ambae ni mjamaica mwenzie huku Asafa Powell akipata maumivu ya misuli na kuwa wa mwisho.

     Mimi ndio namba moja duniani katika mbio za mita 100.Usain Bolt akionyesha kidole kuashilia hayo.Kiukweli huyu jamaa hupaswi kusimuliwa ni kumtazama mwenyewe.