Sunday, August 12, 2012

MBWANA SAMMATA NA MIGUU YAKE MINNE

Mchezaji wa Tanzania anaecheza soka la kulipwa nchini kongo katika team ya tp mazembe Mbwana Sammata hapa akiwa katika usafiri wake mitaa ya drc congo.Big kaka kwa kupiga hatua itokanayo kwa jasho lako.