Saturday, August 4, 2012

UNADHANI LEO USAIN BOLT ATATETEA UBINGWA WAKE WA OLYMPIC MBELE YA ASAFA POWELL NA TYSON GAY?

  Leo usiku mtu mzima Usain Bolt anakimbia katika mashindano ya olympic pale london kutetea medali yake ya dhahabu alioiwekea na rekodi ya dunia. Ila atakutana na changomoto kubwa sana ya wakimbiaji wakubwa na wenye kasi ya ajabu mithili ya kimbunga kama Asafa Powell ambaye ni Mjamaica mwenzie na Tyson Gay huyu wa Marekani.
     Tyson Gay leo sidhani kama atakubaliana na Usain Bolt
Asafa Powell huyu ndio aliokua anashikilia ubingwa wa mita 100 kabla ya Usain Bolt kujiingiza na yeye kwenye mita 100 na kua kinara mpaka sasa vipi leo atarudisha heshima?mimi na wewe hatujui kwani mbio hizi dunia nzima watakaa chini na kuzitazama usikose kutazama majira ya sa nne usiku.